Lyric discussion by Vampk254 

Cover art for Nipende Mimi lyrics by Leteipa the King

VERSE

Umeketi,
kwa corner, Ukifikiria, Vile maisha, ya mapenzi, yamekukalia, Any shoe that, you admire,
inawa ndogo kwako dear, Mpaka sasa, umeamua, peku kutembea, Umesahau kiatu chako Kipo, Kimetengezwa tu kwa ajili yako

HOOK

Ukiwa kwenye shiida, Unajililia, Ntakupa kitambaa, Ujipanguzie, Ntaketi kando yako, Mpaka utulie, Kisha nikuimbie, Mpaka usinzie

CHORUS

Labda ulipenda, hao wengine wakakuonyesha kilio, Yule mwingine wa mwisho akakuuma sikio, They used you na sasa wanakuita kifagio, But nipende mimi... Nipende mimi

VERSE

You think that, you are lonely, Coz no one is close to you, And even those that, are closer, they never bother to fight for you, Umeapa kamwe, hutawahi penda, Juu wanaume wote, ni mafisi, mwishoni watakutenda, Give me a chance to prove your statement is wrong, Naapa kwa wote wanaoskiza this song

HOOK

Labda ulipenda hao wengine wakakuonyesha kilio, kilio kiliiiiioo

HOOK

Ukiwa kwenye shiida, Unajililia, Ntakupa kitambaa, Ujipanguzie, Ntaketi kando yako, Mpaka utulie, Kisha nikuimbie, Mpaka usinzie,

Link(s)