0 Meanings
Add Yours
Follow
Share
Q&A
Video
Hatuuzagi Lyrics
Uko nje nimeskia wakisema ati hatuuzagi Eeh hata hatuuzagi hii tunauza ni wewe nawauliza tena hii tunauza ni wewe hii Dio Barua yangu na iwafikie Wao
Nikianika nguo zangu hapa Chini cianiki jua Dio zikauke Naanikia customer zangu Wapeda kazi yangu amenunua Longi Amenunua viatu Wamenunua kofia vinyasa Nimefugua duka amenunua Chovi mafuta Uga ya gano Wamenunua masoda Namwamini Mungu nisipouza leo kesho ni Siku kesha Ukiniroga mimi na kesha na Mungu wangu anibaliki zaidi Unatamani Nizikwe nikiwa uhai Hiyo ni ndoto ya Mchana my Friend mkiniona na baiki ama Kaduthi kangu nikiuza bithaa Zangu Heshimu kazi yangu ni Kama ile ingine mimi nimejiajiri Wewe umeajiriwa nani ako Mbele for
Uko nje nimeskia wakisema ati hatuuzagi Eeh hata hatuuzagi hii tunauza ni wewe nawauliza tena hii tunauza ni wewe hii Dio Barua yangu na iwafikie Wao
Uko nje nimeskia wakisema ati hatuuzagi Eeh Hatuuzagi hii tunauza ni wewe
Mimi na bidii zangu za kila siku Naigia Sokoni natadaza nyanya Ngunia napaga Nyanya zangu Sukuma zangu kitugu Matunda Aina balibali avocado cabbage Jua imewaka woiye vitu zangu Zitahalibika Mungu ni nani Wamezinunua vitu zangu zote Hiyo ni kidole siku yangu lmejaa customer wengine ni Wazuri
Uko nje nimeskia wakisema ati hatuuzagi Eeh hata hatuuzagi hii tunauza ni wewe nawauliza tena hii tunauza ni wewe hii Dio Barua yangu na iwafikie Wao
Uko nje nimeskia wakisema ati hatuuzagi Eeh hata hatuuzagi hii tunauza ni wewe hii Dio Barua yangu iwafikie wao
Mvumilivu hula mbivu siku zote Ndugu dada majirani zangu Mwamini mungu sio binadamu Eeh
Uko nje nimeskia wakisema ati hatuuzagi Eeh Hatuuzagi hii tunauza ni wewe
Uko nje nimeskia wakisema ati hatuuzagi Eeh hata hatuuzagi hii tunauza ni wewe hii Dio Barua yangu iwafikie wao
Song Info
Submitted by
kingsmainamssteve On Jan 09, 2026
More KingsMainaMSsteve
Clap Clap for the Haters
Pretty Purity
Wachana Naye
Uso Unasigiziwa
What Woman Wants
Add your song meanings, interpretations, facts, memories & more to the community.