0 Meanings
Add Yours
Follow
Share
Q&A
Video
William Ruto Lyrics
Mzee na kazi baba wa taifa maendeleo tunayo
tunajivunia kuepo kwako Asubuhi nikiamka humuobea
Sana William Ruto abarikiwa na naibu wake pia
Abarikiwa siku nyingi duniani Ruto kasema ni vyema
Kapear mifugo chango faida kwako mkulima
William Ruto William Ruto William Ruto nimekuita mara
Ngapi wewe ni wetu mimi ni wenyu wakenya wote ni
wenyu tunakupeda sana
Kama umejega nyumba Kwa bei nafuu nani mwigine
Kama wewe akuna umetujegea mashule mabarabara
Amani ya wakenya umetuletea mambo manzuri ya sha
Karo ya Shure umepuguza watoto wanasoma vizuri
Nani mwigine kama wewe akuna
William Ruto William Ruto William Ruto nimekuita mara
Ngapi wewe ni wetu mimi ni wenyu wakenya wote ni
wenyu tunakupeda sana
William Ruto wewe ni mzuri ubagui wewe ni wa kabira
Umetoka wapi unafanyaga nini unatupeda sote kama
Wakenya kitu kimoja kama ni pesa unagawanisha vizuri
tunajivunia wewe baba wa taifa Ata walale waamuke
Wakeshe waseme ubaya wako mimi nitakupeda
Nitakupeda zaidi ya Jana ebu tazama furaha ya wakenya
Ukieda Mombasa wasema William Ruto tosha Nairobi
Nakuru na country zote tumeugana tunasema
William Ruto wewe tosha mambo manzuri huchukua
Muda tumpe nafasi
William Ruto William Ruto William Ruto nimekuita mara
Ngapi wewe ni wetu mimi ni wenyu wakenya wote ni
Wenyu tunakupeda sana
Walisema agusha bei ya uga umeagusha wakasema
Agusha bei ya sukari umeagusha mafuta pia
Umeagusha nani mwigine kama wewe akuna
Mtu ni William Samoe Ruto tano tena
Mtu ni William Samoe Ruto
Mtu ni William Samoe Ruto
tunajivunia kuepo kwako Asubuhi nikiamka humuobea
Sana William Ruto abarikiwa na naibu wake pia
Abarikiwa siku nyingi duniani Ruto kasema ni vyema
Kapear mifugo chango faida kwako mkulima
Ngapi wewe ni wetu mimi ni wenyu wakenya wote ni
wenyu tunakupeda sana
Kama wewe akuna umetujegea mashule mabarabara
Amani ya wakenya umetuletea mambo manzuri ya sha
Karo ya Shure umepuguza watoto wanasoma vizuri
Nani mwigine kama wewe akuna
Ngapi wewe ni wetu mimi ni wenyu wakenya wote ni
wenyu tunakupeda sana
Umetoka wapi unafanyaga nini unatupeda sote kama
Wakenya kitu kimoja kama ni pesa unagawanisha vizuri
tunajivunia wewe baba wa taifa Ata walale waamuke
Wakeshe waseme ubaya wako mimi nitakupeda
Nitakupeda zaidi ya Jana ebu tazama furaha ya wakenya
Ukieda Mombasa wasema William Ruto tosha Nairobi
Nakuru na country zote tumeugana tunasema
William Ruto wewe tosha mambo manzuri huchukua
Muda tumpe nafasi
Ngapi wewe ni wetu mimi ni wenyu wakenya wote ni
Wenyu tunakupeda sana
Agusha bei ya sukari umeagusha mafuta pia
Umeagusha nani mwigine kama wewe akuna
Mtu ni William Samoe Ruto tano tena
Mtu ni William Samoe Ruto
Mtu ni William Samoe Ruto
Song Info
Producer
Producer A, Producer B
Release date
Jan 01, 2023
Sentiment
Negative
Submitted by
kingsmainamssteve On Jan 07, 2025
More KingsMainaMSsteve
Wachana Naye
Uso Unasigiziwa
What Woman Wants
Oka Kwa Ngai
Mara Moja Mbili Tatu
Who wrote the lyrics to 'William Ruto ' by KingsMainaMSsteve?