0 Meanings
Add Yours
Follow
Share
Q&A

Mara Moja Mbili Tatu Lyrics

It's a new day baby wake up utachelewa kwenda kazini eeh

Kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu nasema tena nipe mara moja mbili tatu tafathari baby nipe mara moja mbili tatu cunipee cunipee kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu nasema tena nipe mara moja mbili tatu tafathari baby nipe mara moja mbili tatu cunipee cunipee

Mi ninampago leo leo tunadunda nawe tulipatana juzi na katiba tuchasoma ukanipeda nikakupeda mtaani nishaigizia nawe picha tushapigwa kila mtu anajua wewe ni wangu eeh pete kufa kupona tushaapa tusiachane daima dawamamu watani wananiita kipaza sauti ni nyimbo moto ninazoimba mapenzi moto nishakupa mziki tuchacheza nawe weeh queen sema jina langu boss baby wa nguvu ooh

Kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu nasema tena nipe mara moja mbili tatu tafathari baby nipe mara moja mbili tatu cunipee cunipee kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu nasema tena nipe mara moja mbili tatu tafathari baby nipe mara moja mbili tatu cunipee cunipee

Ati maisha London twende mombasa tukakure raa sahau shida ni Kwa muda darling naamini kwa utaratibu Dodoma Tanzania tutakueda Kampala Zimbabwe kote kote please please baby girl cheza kama wewe wacha kukazia mmh

Kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu nasema tena nipe mara moja mbili tatu tafathari baby nipe mara moja mbili tatu cunipee cunipee kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu nasema tena nipe mara moja mbili tatu tafathari baby nipe mara moja mbili tatu cunipee cunipee
0 Meanings

Add your song meanings, interpretations, facts, memories & more to the community.

Add your thoughts...
Questions and Answers

Ask specific questions and get answers to unlock more indepth meanings & facts.

Ask a question...