0 Meanings
Add Yours
Follow
Share
Q&A

Uso Unasigiziwa Lyrics

Amenisimamisha kizimbani potelea mbali gerezani milele roho chafu wachakudaganya mie mla watu fisi mtapeli wa penzi lako mtu ni tambia igali sambamba eeh uso uso unausigizia nini hivyio baby usiniache siku zote unipede tujegane mimi niwe maji yako unichotage wewe uwe gari langu nikuedeshe hadi uzeeni mi stima nieke mbali na maji eeh

Mola malaika walimwegu mko wapi kusema ukweli uso wangu unasigiziwa unasigiziwa eeh nitalia na nani ooh nitalia nitalia eeh nani atakaenipeda kwa dhati aje anitulize moyo niwe mali yake anitawale tena niwe vazi lake anivalie, chozi likitirika mengi nimejionea jah anayenijua nimelala sakafuni sema maumivu kwa wingi ukweli wa mambo eeh

Mola malaika walimwegu mko wapi uso wangu unasigiziwa unasigiziwa eeh nitakufa na nani ooh nitalia nitalia eeh nani atakaenipeda kwa dhati aje anitulize moyo niwe vazi lake anivalie tena niwe mali yake anitawale milele mimi niwe wake eeh

Nikamue mooh nikupe maziwa siku zote tena nikamue meeh nikupe mborea siku zote nikamue mooh nikupe maziwa siku zote tena nikamue meeh nikupe mborea siku zote
0 Meanings

Add your song meanings, interpretations, facts, memories & more to the community.

Add your thoughts...
Questions and Answers

Ask specific questions and get answers to unlock more indepth meanings & facts.

Ask a question...