0 Meanings
Add Yours
Follow
Share
Q&A

Wachana Naye Lyrics

Taratibu wazee kwa vijana wamama kwa wasichana karibieni sauti inawalila kwa huzuni mingi, samahani wapenzi tega maskio mniskilize mazuri apakwa wingi maovu yote tunaodoa ukurasani chunga tamaa ya nje itakuagamiza na usahaulike chizika na wako wa nyumbani mwenye mapenzi kiupependo ya kifahali isiyo ya leo, leo leo tu, milele milele eeh nasema tena milele milele eeh

Kaa ukijua eti ukimuona kavalia miniskirt nusu uchi uwe kijana ama Mzee, Wachana Naye anasifa za kuacha mapaja na migogo wazi mwenye kumelemeta Kaa maridadi car, usiku anakaa mwangaza ila akipita usimkonyeze jicho usije ukajisahau

Huyo ni mtapeli wa mali yako mwenye mapambo kupendeza sauti gunzo tu, kuvutia kukuharibia ujana tu

Sometime amevalia kogi kogi utaskia kogi kogi akipita Kwa maringo huyo ni kama funza anasaka pakutumbukia kwa muda ooh hao maabunuasi wako hapo ulipo walalahoi na walalahai wote wakitubukia ndani Kwa ndani na kusahau na familia zao manyumbani kuwa mjaja usifanyuwe mtumwa wakate waodoe Kwa line up ya maisha yako usipagwe na nderemo na shagwe siku zote jijue wewe mwenye uwapendao uwatunze dio watakao kuzika watasimama nawe wakati wowote kama ujui jua leo hakuna aliye kama wewe ulimwegu mzima sio siri tena ni wazi hatharani ishi na watu eeh

Huyo ni mtapeli wa mali yako mwenye mapambo kupendeza sauti gunzo tu kuvutia kukuharibia ujana tu eeh.
0 Meanings

Add your song meanings, interpretations, facts, memories & more to the community.

Add your thoughts...
Questions and Answers

Ask specific questions and get answers to unlock more indepth meanings & facts.

Ask a question...