3 Meanings
Add Yours
Follow
Share
Q&A
Ndoto Ya Mchana Lyrics
Intro
Iyeeeh iyeeh iyeeeh, Ni vampK
lalalalalala lalalalalaaaa
Verse 1
Niliskia tufununu, Kwamba ulipata mwingine,
Anayekupenda zaidi ya mimi, mtafunga ndoa pengine,
Yetu ilikuwa shadow, mapenzi yenu yamekolea,
Lazima huwa Anakupa, vitu sikuwa nakupea,
Ndoto zako zote, ulizoniambia,
Naona kama kweli sasa zinatimia,
Na Sina chochote, cha kukuambia,
Ila nakonda Kweli nikikufikiria,
Hook
Sura yako umbo lako jamani eeh,
Busu na mahaba chumbani maami ,
Mawaidha yako nikiwa matatani eeh,
Nikikumbuka najiona hayawani maami
Chorus:
Nawatakia mema, (Nawatakia mema)
#ss$## mema, (Nawatakia mema)
Nawatakia mema, (Nawatakia mema)
Basi kwaheri kwaheri kwaheri Mami (Ndoto yangu ya Mchana)
Verse 2
Ingawa inaniuma, niko na furaha moyoni,
Kuona kwamba umepata, vyote ulivyokuwa unatamani,
Naomba nipate mwaliko, wa harusi nije Nile wali,
Nipige picha na wadau, nikupe zawadi kama zamani
Alafu ntapeform, kama beshte yako, kale kawimbo nilikuimbia shambani
Na nitakuinform, tunza mume wako, Japo kuna vitu zenye ninatamani,
Hook:
Sura yako umbo lako jamani eeh,
Busu na mahaba chumbani maami ,
Mawaidha yako nikiwa matatani eeh,
Nikikumbuka najiona hayawani maami
Chorus
Ingawa ningependa,ungekuwa wangu pekee, (Nawatakia mema)
Ingawa moyoni umeniachia kidonda, (Nawatakia mema)
Namwomba Mungu, anipatie mwingine Kama wewe, (Nawatakia mema)
Hivo kwaheri kwaheri kwaheri kwaheri mama (Ndoto yangu ya Mchana)
Lakini ninaomba, unifanyie favour Moja (Nawatakia mema)
Ukijifungua kama ni wa kiume,mpe jina laangu (Nawatakia mema)
Na kama ni wa kike mpe jina la mama yangu (Nawatakia mema)
Basi kwaheriiiiiiii (Ndoto yangu ya Mchana)

Add your song meanings, interpretations, facts, memories & more to the community.
https://youtu.be/QAxxNORReq4
Ndoto ya mchana Is a Swahili phrase meaning Day dream. An unrealistic imagination that one has which mostly ends ubraptly. Leteipa the King has expressed sad wishes of a heartbroken guy to his X comparing their relationship to a day dream. He portrays the image of a gentleman wishing his X and future husband all the best and even request to be invited to their wedding. This peace is an eye opener for lovers proving that depsite heartbreaks, moving on is a choice. It's is a slow melodious reggae with smooth catchy afro flavour.
LeteipatheKing #Leteipa #VampK254Music #VampK254 #VampK #Vamp #Teipa #TeipasLomon #TeipasLyrics #TeipasSingolio #TeipasTales #reggae #Ndotoyamchana #KenyanMusic #254Flow #SwahiliFlavour
https://open.spotify.com/track/5i35ff17JfdUyGnHBqKWEP